Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Mkuu Petty! Gharama za kuwaleta sehemu husika ili muwanze kunifanyia kazi, gharama ni juu ya nani? Na kula kulala pia??
Siku ya kuja site kuona na kuandaa BOQ gafama ni juu ya mteja atachangia kidogo baada ya kusaini mikataba mfano kama jumla ya ujenzi ni million 39 basi mteja atalipa gadama hizo tu Usafidi kulala kila kitu ni juu ya kampuni karibu 0763772636 WhatsApp
 
nyumba ya vyumba vi 3 ikiwa kwenye hatua ya mwisho ili ikabidhiwe WhatsApp us 0763772636
 
Nashukuru Mkuu petty!
 
nyumba ya vyumba vi 3 ikiwa kwenye hatua ya mwisho ili ikabidhiwe WhatsApp us 0763772636

Sorry! Unaweza kunitajia idadi ya vyumba na vyoo pamoja na jiko ktk iyo nyumba? Ni ya bei gani? Nimeipenda sana jinsi mlivyo-idizaini
 
Upewe 50%? (16m tshs.) ofisi zenyewe za ku-share hapo Makumbusho complex kodi 100,000/= kwa mwezi. Matapeli hamjatupata bado
Wewe Joshua pole sana kijana huu uzi una mwaka na zaidi na tumeshajengea watu zaidi ya kumi kutoka humu ndani kama kungekuwa na utapeli kama unavofikiria Leo hii katika hii page lazima kungekuwa na malalamiko ya kutosha sio kila MTU ni tapeli wengine tunatengeneza wateja wawe wateja wa kudumu pole
 
Mkuu,

Hongera kwa biashara.

Hii picha imenipa Mashaka. Mkimaliza kumjengea mteja mnaweka na vinyago na picha yake ya harusi kabisa kwenye frame kabla hamjamkabidhi? Manake naona interior decor imekamilika kabisa!

Angalia vizuri hizi picha ulizopost hapa. Unless ulipewa kazi ya kupiga rangi tu.
nyumba ya vyumba vi 3 ikiwa kwenye hatua ya mwisho ili ikabidhiwe WhatsApp us 0763772636
 
Huyu jamaa tapeli
 
mkuu hiyo three badroom inakwenda kiasi gani? je znz mnafika ?
 
Sisi tunajenga na kufania renovation
 
Project hii ikiendelea maeneo ya kitunda ni vyumba 3 choo sebule store na dining room bei mil 66 kulingana hitaji la mteja WhatsApp 0763772636
 
Pia tuna dezine michoro mbalimbali na kuanda ramani pamoja na BOQ kwa garama nafuu kabisa
 
Karibuni kwa michoro ya ramani na kuandaa BOQ kwa garama nafuu kabisa ramani ya hii Nyumba inapatikana kwetu kwa garama nafuu kuipata WhatsApp me 0763772636
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…