pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
- Thread starter
-
- #461
Naomba useme ulichodanganywa na kampuni yetu na utoe ushahidi hapa hapa ili na wengine watambue uongo wetu maana sio unakuja kutapika kumbe hata Kiwanja huna wala hujawahi kufanya Kazi na sisi ili tangazo lina zaidi ya mwaka sasa nadhan kama tungekuwa waongo wengi tuliofanya nao Kazi wangeleta malalamiko hapaWaongooo haoooo
Asante sannzuri sana hongereni
Vip wakuu mmebadilisha website au maana mara ya mwsho ilikuwa One to oneRaman ya vyumba vinne sebule,dining room, store, inapatikana kwetu Eyes on Properties Limited Kwa michoro ya majengo aina Zote tupigie 0763772636View attachment 730230View attachment 730232View attachment 730234View attachment 730236View attachment 730237View attachment 730240View attachment 730241
NdioVip wakuu mmebadilisha website au maana mara ya mwsho ilikuwa One to one
Umesema nyumba hii JUU ina chumba kimoja, vitatu viko chini. Nafasi ingine juu kuna nini?
Project Yetu maeneo ya bweni DSM hili no gorofa moja ina vyumba vinne kimoja juu vitatu chini sebule Dining, sebule store kitchen ya kisasa
Sawa kiongozi nitakutafutamkuu ukihitaji kuboresha web nionee
Vyumba viwili wengi hujenga kama apartments za kukodisha kama ivi hizi tunajenga maeneo ya mburajatidhuuu vyumba viwilii hapana aisee labda vitatu nitafikiria maana wageni wakija unakazi tena ya kujipanga na kama una watoto wa kiume na wakike utafanyaje
Naifanyia marekebisho mkuuwebsite haifanyi kazi