Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

karibuni kwa ujenzi bora na wa kisasa zaidi
 
Kwa mwenye kuhitaji kujengewa simple house of one bedroom masta sebule dining jiko store kwa garama ya million 16 tu plz wasiliana na sisi kwa WhatsApp 0763772636 nikuonyeshe sample za mchoro
16 ikijumuisha na finishing zote mkuu?
 
Mkuu waweza nijengea nyumba kwa milioni 15 kutegemea na ukubwa wenyewe?
 
Kwa mwenye kuhitaji kujengewa simple house of one bedroom masta sebule dining jiko store kwa garama ya million 16 tu plz wasiliana na sisi kwa WhatsApp 0763772636 nikuonyeshe sample za mchoro
Kwa asilimia ngapi inakamilika??
 
Habari mkuu

Nimeiona kaz zenu nimezipenda swali ni kwamba je mnaweza kujenga Kwa awamu Yani nkajenga mpaka Boma liishe halaf napiga na bati baada ya hapo nasubir tena Muda naanza finishing za ndan mdogo mdogo
 
kwa viwanja vya Mbezi, Mpiji Magoe, Goba, Kimara hiyo hela haitoshi, ila kwa CHANIKA, Kigamboni, , Vikindu, Kibaha inawezekana kwa hiyo 32M
 
Habari mkuu

Nimeiona kaz zenu nimezipenda swali ni kwamba je mnaweza kujenga Kwa awamu Yani nkajenga mpaka Boma liishe halaf napiga na bati baada ya hapo nasubir tena Muda naanza finishing za ndan mdogo mdogo
ndio inawezekana kabisa kwani wapo wateja wengi wanaofanya ivo hata huyu alijenga kwa awamu hakujenga moja kwa moja whatsapp me 0763772636
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…