Baada ya kuijenga, inakuwa chini ya uangalizi kwa kipindi gani?nyumba ya vyumba viwili sebule dining store jiko pubic toilet and bathroom imejengwa kwa milion 32 tu karibu tukuhudumie 0763772636 whatsapp usView attachment 812748View attachment 812749
Inatosha na kubakikwa viwanja vya Mbezi, Mpiji Magoe, Goba, Kimara hiyo hela haitoshi, ila kwa CHANIKA, Kigamboni, , Vikindu, Kibaha inawezekana kwa hiyo 32M
kipindi cha miaka miwili na chochote kitakachoharibika kitakuwa juu yetuBaada ya kuijenga, inakuwa chini ya uangalizi kwa kipindi gani?
Ili ubora kuuzingatia?
wazo zuri ila kwa wengi wetu huwa tunawapeleka na site zetu kabisa ili kuona ana kwa ana bure bila shida na vipimo vingi nimeelezea kwenye post zilizopita AsanteMkuu ni vema ungekua unawaambia watu ata ukubwa wa nyumba (ukubwa wa sebule,kitchen,bedroom) ili mtu apate uhalisia
hiyo ni kulingana na hitaji la mteja wetu ndo ramani yake ilikuwa ivo anataka Madirisha ya ivo AsanteMbona madirisha yapo chini sana?
[emoji15]kwa maelezo zaidi chek me whatsapp 0763772636 au waweza kupiga au kutuma sms kwa 0713935395 karibun
AWAHI JENGA UKANDA WA MBEZI MKUU, MSINGI TU UNAWEZA KULA 20M , KWEUPE KABISAInatosha na kubaki
Mmmh hiyo 20m msingi tofali ngapi?HUJ
AWAHI JENGA UKANDA WA MBEZI MKUU, MSINGI TU UNAWEZA KULA 20M , KWEUPE KABISA
why msingi uwe milion 20 kiongozi? labda iwe gorofaHUJ
AWAHI JENGA UKANDA WA MBEZI MKUU, MSINGI TU UNAWEZA KULA 20M , KWEUPE KABISA
Tupia picha na Namba zao za Simu tu-confirm vinginevyo ni ujanja-ujanja tuWewe Joshua pole sana kijana huu uzi una mwaka na zaidi na tumeshajengea watu zaidi ya kumi kutoka humu ndani kama kungekuwa na utapeli kama unavofikiria Leo hii katika hii page lazima kungekuwa na malalamiko ya kutosha sio kila MTU ni tapeli wengine tunatengeneza wateja wawe wateja wa kudumu pole
namba zangu za simu zipo kwenye post yangu au waweza kunipigia kwa 0713935395 whatssap 0763772636 karibuTupia picha na Namba zao za Simu tu-confirm vinginevyo ni ujanja-ujanja tu
kazi zinazoendelea kwa sasa maeneo ya Tegeta na salasala Dsm kwa maelezo zaidi whatsapp me 0763772636 Au piga 0713935395 karibun sanaTupia picha na Namba zao za Simu tu-confirm vinginevyo ni ujanja-ujanja tu