Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

naomba unichek whatsapp kiongozi naikumbuka ile project yako plz tuwasiliane

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuwa makini na project zako mkuu kama kweli unaikumbuka project yake kwanini hadi akuchek tena WhatsApp?

na analalamika anawatafuta hapati ushirikiano..!!

Inaonekana mnafanya kazi nzuri lakininmna dharau fulani hivi
 
I like it.

Hongereni sana kwa kazi nzuri....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari mpoo ? nina nyumba yangu ya chini ina vyumba 4 ninataka kuipandishia gorofa moja juu jee inawezekana? Na mtaweza kunifanyia hiyo kazi? Nyumba ipo znz shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipende ku kremisha bosi material kama mabati sisi kama kampuni tuna kiwanda kidogo cha kuproduce pia matofali tuna mashine tuna shamba la miti ya mbao so usihukumu moja kwa moja come to the ofisi
Sure 32 milioni Ni nyumba kali sema wamezoea hizi za madalali, kuna interlock brick tofali moja sh.500 ukitumia tofali 6000 sawa na 3,000,000 tayari una nyumba ya vyumba vitatu hadi unafunga lenta
 
Daaa kwa 32m hiyo huku moshi unajenga nyumba ya room 3 jiko,choo,sebule unapauwa na msouth gage 30 grill,plaster,umeme na rangi kwa 15 ml

Ila sio mbaya umaskini wangu ndio unanichanganya tu
Wish u all the best
 
Heeeheee
Daaa kwa 32m hiyo huku moshi unajenga nyumba ya room 3 jiko,choo,sebule unapauwa na msouth gage 30 grill,plaster,umeme na rangi kwa 15 ml

Ila sio mbaya umaskini wangu ndio unanichanganya tu
Wish u all the best
 
Biss mbona hatuonagi actual picha ya project zako...kila siku ni models tu
 
Picha za nyumba kila mara zinaonyesha zipo under construction. Kwanini usiweke picha za nyumba baada ya ujenzi pamoja na muonekano wake kwenye michoro kwa nje kabla ya ujenzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…