Hiyo bei mkuu!?Nauza kiwanja maeneo ya Tandika karibu kabisa na chuo cha bandari Dsm kiwanja kimepimwa kina hati miliki na hakidaiwi na serikali ukubwa wa kiwanja ni square meter 826 bei ya kiwanja ni milion 350 tu maongezi kidogo yapo
mimi ndiye mmiliki halali wa kiwanja kwa mwenye kuhitaji tafadhali tuwasiliane kwa 0763772636
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hiyo bei ni kias ganKazi ya mikono Yetu kazi imekamilika na kukabidhiwa kwa wakati gorofa ya flow moja garama ya nyumba hii yote ni milion mia moja na sabini tu kwa mawasiliano zaidi Whatapp us 0763772636View attachment 1123866View attachment 1123867
Mhh! Utapeli mwingine huo!!!!!