pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
- Thread starter
-
- #121
Asante mkuu kwa ushauri notedAndaa proposal na Aproach mabenk na mifuko ya hifadhi za jamii uuze huko kwa kauli mbiu ya miliki nyumba Dodoma usipange kwa muda mrefu. Utapata wateja mpaka ukimbie
Asante mkuuKazi nzuri, hongereni sana.
Mkuu unamjua keV kumbe...alinikosa lak 2.5kidogo tuuAsante sana...namuona Kelvin Isaya kwa darubini za Afande Sele kwa mbaliii...Cheap is always expensive... That is the nature
Halafu kwamba bei zao ni ndogo kwa vile kampuni inamiliki kiwanda kidogo cha kutengeneza bati, ina shamba lake la mbao na kadhalika...hii kwangu ina ukakasi... samahani lakiniHiyo website mbona "not available?"
Sawa mkuu acha wajenz waendelee kujenga watakuja kukusimuliaHalafu kwamba bei zao ni ndogo kwa vile kampuni inamiliki kiwanda kidogo cha kutengeneza bati, ina shamba lake la mbao na kadhalika...hii kwangu ina ukakasi... samahani lakini
Nimeshaweka mkuu ila kwa mambo zaidi tembelea www.one2onefocus.com karibu mkuuHii safi sana mkuu! Vp unaweza kutuwekea japo kazi ambazo mmeshafanya?
Asante kwa kunisaidia kujibu maana anaweza akajiona anajua kila kitu kumbe bado sanaYou're lucky, you're an architectual not an eng. So you cant be so sure go further with consultation maybe you will come to realise that you wasted much of your parents fees not being able understand estimation and costing as part of your course study!! (hizo gharama zinaweza kabisa kujenga nyumba) asante.
Karibu sana mkuuNitawatafuta numependa kazi zenu
Kuna uimaraKwakweli hata mimi nimeshangaa... maana thamani ya kiwanja tu ni karibia robo ya gharama ya nyumba...
Hata kama una kiwanja chako, 32M kujenga nyumba mpaka iishe, nna mashaka na uimara wa hiyo nyumba.
Nilishaweka labda niongezeekwa nini usi upload actual picture ya nyumba mlizowahi kutengeneza kwa ajili ya wateja wenu
Wanataka tufie ndani wife, bora tukae kwenye nyumba yetu ya nyasi... kiyoyozi asilia.Kuna uimara
Udongo
Slope au tambarare
Mmmmmmh
Ndugu, hio nyumba yenye fance ya waya mliijenga sehemu gani? Naona kama naijua somewhere in Kenya au macho yangu yana shida!!Nilishaweka labda niongezeeView attachment 473763View attachment 473764View attachment 473765View attachment 473766
Yanashida kubwa kaka muone Daktar chap au kula mboga za majan kwa wingiNdugu, hio nyumba yenye fance ya waya mliijenga sehemu gani? Naona kama naijua somewhere in Kenya au macho yangu yana shida!!
Karibu sana mkuuTutakutafuta kwa ufafanuzi zaidi mkuu
Hepi nyuu yia hazbendiWanataka tufie ndani wife, bora tukae kwenye nyumba yetu ya nyasi... kiyoyozi asilia.
happy Niu yia muke ya ujana wangu...
Zipo za kuuza pia kama wahitajijenga uza
Sawa kiongozi.Yanashida kubwa kaka muone Daktar chap au kula mboga za majan kwa wingi