Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Mkuu njoo Dodoma upate fursa... ni jambo ambalo linaniumiza kichwa sana kukaa nyumba za kupanga.
 
Mkuu nataka kumjengea mke mdogo, sebure jiko na na chumba master shs ngapi mkuu,
 
Mkuu nataka kumjengea mke mdogo, sebure jiko na na chumba master shs ngapi mkuu,
Ukiwa na maana ya chumba kimoja masta halafu sebule, jiko, dining, store si ndo ivo au nimekuelewa tofauti? Kama ndo ivo nijibu kwa WhatsApp 0763772636 au tuma text ya kawaida nami nitakujibu
 
Ukiwa na maana ya chumba kimoja masta halafu sebule, jiko, dining, store si ndo ivo au nimekuelewa tofauti? Kama ndo ivo nijibu kwa WhatsApp 0763772636 au tuma text ya kawaida nami nitakujibu

Kasoro dining mkuu.
 
Usanii wa kijinga tafuteni njia nyingine ya kupata hela hakuna mjinga wa kukubali kuwa hizo nyumba zinaweza kujengwa kwa amount hiyo
 
Tunafanya sisi mkuu, Nyumba hazijajengwa hapa unachotakiwa kufanya uwe na kiwanja chako material kila kitu juu yetu karibu sana
 
Kiwanja not included kiwanja ni chako sisi ni ujenz karibu sana
kuna point umesema mteja "akiridhika" ikiwa kama hajaridhika na ushajenga mtafanyaje?? je raman mnamruhusu mteja kuchagua anayoitaka? maana kuna raman ya vyumba hivyo hivyo ila n expensive balaa ujenzi wake
 
Ramani utachagua kuhusu kuridhika huwezi kutokuridhika maana hatua zote za ujenz utashirikishwa from A- Z ndo maana tunajiamini na kazi zetu karibu
 
Ramani utachagua kuhusu kuridhika huwezi kutokuridhika maana hatua zote za ujenz utashirikishwa from A- Z ndo maana tunajiamini na kazi zetu karibu
Kwa kuongezea pia RAMAN Ni bure kwa wateja wetu wanaotaka kujenga nasi karibu
 
Kwakweli hata mimi nimeshangaa... maana thamani ya kiwanja tu ni karibia robo ya gharama ya nyumba...

Hata kama una kiwanja chako, 32M kujenga nyumba mpaka iishe, nna mashaka na uimara wa hiyo nyumba.
Me nadhan mtu unapotoa criticism kuhusu bei ya kujenga nyumba nadhan mtoe na credential zenu je wewe na QS, engineer, valuer, architect, prop manager or una experience yoyote in the construction industry usije ukawa layman tu unaropoka coz watu humu JF mnatabia za kuropoka tu....
 
Utakuwa mjenzi wewe[emoji106]
 
Kwakuwa babu yako alikudanganya ili ujenge nyumba yako ni lazima uwe engineer, QS au valuer...

Unasahau naweza kuwaajiri wao wanijengee na hivyo nalazimika kuwahoji...

Dogo... unapohoji ishu yoyote ya kisheria si lazima uwe Tundu Lissu.

Think and grow up, grandson/daughter...
 
Nataka kama hii,,,vitu vingi vipo tayar,bati,kiwanja,mchanga,nondo, mtanijenge kwa bei gan
 
U see hata reponse zako ni childish.... toa reasons zenye justification kwamba 35m ukiwa nakiwanja huwez jenga nyumba.....
 
Kwakweli hata mimi nimeshangaa... maana thamani ya kiwanja tu ni karibia robo ya gharama ya nyumba...

Hata kama una kiwanja chako, 32M kujenga nyumba mpaka iishe, nna mashaka na uimara wa hiyo nyumba.
Tapeli huyo nyumba ya milioni 32?!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…