Miliki pikipiki yako ya TVS

Miliki pikipiki yako ya TVS

MomB

Senior Member
Joined
Sep 2, 2020
Posts
193
Reaction score
277
Tunauza pikipiki zote za tvs kwa bei nafuu sana.

Tvs 125 4 gear utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 2 na laki tisa tu.
Tvs 125 gear 5 utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 3 na laki moja tu.

Tvs King ya mafuta utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 9 na laki 9 tu, Tvs king ya gesi ( CNG ) utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 10 na laki 9 tu. Kwa mawasiliano zaidi piga namba hizi 0678000011. Karibuni sana.
 

Attachments

  • PXL_20240525_185425386.jpg
    PXL_20240525_185425386.jpg
    4 MB · Views: 43
Ingependeza kama ungeweka picha ya pikipiki na bei yake tukachagua hata tunapiga simu tubajua ni pikikipi ipi
 
Back
Top Bottom