Ni rahisi sana, sisi ONFON MEDIA tunakutengenezea mfumo wa Bulk SMS buree na msg chache za trial. Baada ya hapo utakuwa na hiyari ya kununua msg toka kwetu Kwan ya matumizi ya ofisi yako.
Bulk SMS inafaa kwa;
Promotion
Kupush taarifa
Kukumbusha ada kwa shule
Kuweka appointment na wagonjwa kwa hosp
Etc.....