Simu bado zipo wakuu
Bei mbona iko chini sana maana hizo ni simu originoNadhanani hiyo bei kwa simu used? Ndo maana watu wamepiga kimya!
Lumia kwa Tsh. 300,000 ?
Hizo simu zote nzuri kwenye camera, na screen quality and size.
Tatizo ni OS (LG ina Android 2.2 Fyoyo upgradable to Gingerbread 2.3 baaasi na Lumia 900 ina Windows 7.5 Mango sio 8)
Shusha bei kidogo mkuu. Hafu zipo piece ngapi?
Io lumia nakupatia 260..pm faster..