Miliki SUV Bei rahisi kutoka land Rover

Mnyama mwingine huyu hapa.







CIF Milioni 12



Kodi milioni 10 tu




Hii gari Jeep ni body tu ila engine na gearbox vyote ni Mercedes Benz.

Engine ni OM642 v6 ikiwa na turbo na ina Cc3000. Hii engine imetumika kwenye gari nyingi sana za Mercedes za diesel. Kuanzia C class, E class mpaka S class.

Gearbox ni W5A580. 5 speed tranny.

Kama mtu ana guts za kununua Mercedes hii siyo gari ya kuikimbia.

Ni Cheaper kuliko haya Maharrier.
 
Mkuu hiyo Land Rover Free Lander ya Bei kitonga ni ya Petrol na Engine yake ni 3200cc. Hiyo Injini ni 6 cylinder na imetumika kwenye Volvo XC90.

Raia wanataka za Turbo Diesel za 2.2L, saizi utaulizwa inanusa mafuta. 2.2L inatosha bongo mafundi na spea zipo inashare injini na Ford na Defender Puma
 
Hizi gari za miaka hiyo si ndio ambazo waziri wetu mkuu anataka kupeleka muswaada bungeni kuwa ziwe marufuku kuingizwa nchini!!!???
 
Kweli kabisa

Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
 
Chembe cha moyo aka ndoa ya kikristo
 

Singapore moja hiyo mzee
 
Free lander zile engine zake 'K-series' ziliharibu kabisa Ile gari,nikapata allergy nayo mpk leo.
 
Free lander zile engine zake 'K-series' ziliharibu kabisa Ile gari,nikapata allergy nayo mpk leo.
Hizi Second Generation hawajaweka Engine za K-Series Kwa Diesel wametumia engine ya Ford Duratoque 2.2L ambayo ipo Kwenye Ford Explorer,Ford Ranger na Land Rover Defender Puma.

Ya Petrol Kuna Moja niliikuta Tunduma ina inline 6 cylinder 3200cc jamaa akasema inashare na Volvo XC90
 
Nimekusoma mkuu,maana yangu ilikua baada ya mizunguo ya k-series sikuwahi kuzitamani Tena freelander mpk leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…