Miliki SUV Bei rahisi kutoka land Rover

Wabongo tunekuwa waoga Tu Ila kuna magari mengi ya bei rahisi alafu yakibabe kwelikweli...
Nimekutana na wamilimi wengi WA harrier wanalalamika kuhusu fuel consumption,Kwa gari yenye CC zaidi ya 2000 Kwa petrol ni maumivu tu
 
K Series nyingi watu walizipaki na zilikufa kizembe, wabishi wakafunga 3S ya RAV4

Na ndio lilikua swali langu linalofuatia, unaweza kuifunga engine nyingine? Mfano unaweza kumvua mtu ya zamani kisha ukaifunga hiyo engine kama inayofungwa kwenye XC 90 Volvo?

Na hapo Mwarabu alivyozidi kwenda juu si tutafilisika Boss wangu?
 
Kweli kabisa

Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app

You are such a humble guy brother, sio hapa tu. Nimeona kwenye nyuzi zako nyingi unavyojibu watu, kama unafanya biashara, nakuombea kila la kheri ufanikiwe.

Mtu mwingine angefoka vibaya mno na kuchafua hali ya hewa kwa kitendo cha jamaa kuleta tangazo lake kwenye uzi wako. Ni dalili ya ukomavu
 
Sasa huu si uozo tu jamani....gari la mwaka 2008?
 
Zunguka gereji za jirani. Hutazikosa Freelander angalau 5. Hiyo gari ikijamba utajuta
 
Na ndio lilikua swali langu linalofuatia, unaweza kuifunga engine nyingine? Mfano unaweza kumvua mtu ya zamani kisha ukaifunga hiyo engine kama inayofungwa kwenye XC 90 Volvo?

Na hapo Mwarabu alivyozidi kwenda juu si tutafilisika Boss wangu?
Land Rover Freelander First Generation zenye injini za K-SERIES za petrol ndio zilisumbua sana. Na wengine wakaja na Njia mbadala wa kufunga injini ya Toyota RAV4.

Second Generation za 3.2L zinakuja na injini Hiyo ya Volvo. Kulingana na cost za kuinunua injini ya 3S na hiyo ya Volvo Bora mtu anunue 3S akafunge kwenye Freelander old model.

Kwa saizi mafuta Bei iliyovyopaa ni Bora uchukue ya Diesel ya 2.2L hiyo injini sio ngeni imetumika sana kwenye Ford Ranger na Explorer tolea la mwanzo na inaimili mazingira yetu na utumiaji wake wa mafuta ni mzuri sana.
 
Kama kawaida haijawahi kuniangusha Engineer. Sasa mtihani ni hapo kujua ipi ni Toledo la kwanza na ipi toleo la pili. Toleo la pili namaanisha hizo zinazoweza kufungwa Engine za 3S. Na Bei ya Engine inaweza range kiasi Gani? Shukrani
 
Hiyo aliyoleta muanzisha Uzi ni toleo la pili, na hii hapo chini ni toleo la kwanza ambazo nyingi watu walizipaki baada ya kusumbua.

Bei ya injini Kwa Sasa sijaua inacheza ngapi?
 
Mkuu kabisa wataka watu wachukue Freelander?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…