Milio ya risasi usiku kucha…

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
1,632
Reaction score
481
Swali: Hivi ingekuwaje kama BAO (si la mpira wewe) la ku-DU (umeelewa sasa&#8230😉 lingekuwa linatoa mlio kama Bunduki???
Mfano: Paaah au Puuuh au Pooooh au Tuuufuu au Tratrataaaah nk. Nahisi tungekuwa viziwi Dunia nzima, kwa sababu usiku kelele za mabao tusingelala.

Tena fikiria wale waliopo jirani na Guest House wangelala?? Kwao yangekuwa ni mabao tu kwa kwenda mbele… Paaah au Puuuh au Pooooh au Tuuufuuh au Tratrataaaah

😛hoto:
 
ahahahahahahahah jamani we kiboko!
 
Unafikiria mbali mkuu.Au Leo unakaahadi nini.
 
zingine zingekuwa zinatoka kama bereta.
 
Mitaa ya sinza na buguruni-kimboka kungekuwa balaa.
 
Sipati mitaa ya sinza, ukipita kwangu ni milio ya misile ka za kurusi
 
Watoto wadogo sijui tungewadanganyaje, au maputo yanapafuka? Hahaha
 
Watoto wadogo sijui tungewadanganyaje, au maputo yanapasuka? Hahaha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…