Mmh sidhani ngoja nicheki priceWakuu Nina milion Saba naweza pata Suzuki jimny used from Japan na je naweza kukakanyagia route ya mtwara mbeya?majibu tafadhali
Kiukweli kwa milioni saba hapana. Chini ya 12milioni sidhani kama utaweza kuinunua from Japan mpaka kutua mkononi mwako.Wakuu Nina milion Saba naweza pata Suzuki jimny used from Japan na je naweza kukakanyagia route ya mtwara mbeya?majibu tafadhali
Mkuu mbona nimechek stock list ya beforwad zipo nyingiKiukweli kwa milioni saba hapana.
Chini ya 12milioni sidhani kama utaweza kuinunua from Japan mpaka kutua mkononi mwako.
Hizo gari huwa ni zinauzwa ghali kidogo Japan, kwa sababu ya uchache wake sokoni na uimara wake kwenye rough road.
Suala la masafa marefu, hazina shida yoyote. Popote unakanyaga fresh.
Duu!!Kwa iyo hela...Labda bajaj....!
Aisee!! Safi sanaHizi gari ni imara sana ukiwa na hela ukanunua mpya ataendesha mpaka mjukuu wako
Safi.Hizo gari ndogo ndogo za hovyo kimuonekano ila bei juuu. Kisa uimara na matumizi mazuri ya mafuta.
Nimeona wametoa toleo jipya unaweza kuifananisha na Jeep.