prince dudu
Senior Member
- May 24, 2015
- 109
- 76
Mkuu masuali mazuriJe, Una Eneo La Kufugia ... Je, Umeshajenga Banda ... Je, Idadi Gani Ya Kuku Unaotaka Kufuga ... Je, Umeshawahi Kufuga Au Ndo Unaanza ... Je, Uko Tiyari Kukabiliana Na Changamoto Za Ufugaji ... Ukinijibu Maswali Haya Ndo Tutajua Pakuanzia ...
inafaa kwa kuku 200 kama banda unalo.Habari zenu Wakuu,
Nahitaji kufuga kuku wa Mayai, ila sijui pa kuanzia. Naomba msaada wenu mnielekeze ili niweze fanikiwa lengo langu.
Je Nikiwa na milion mbili yatosha kuwa mtaji wa kuku wamayai?
Pole Sana Mkuu Hao Kuku Wako Walikuwa Wanaharisha Uharo Wa Rangi GaniMkuu masuali mazuri
Miezi 3 ilopita, nimechinja kuku karibia 200 wa mayai, walipata maradhi ya kiharisha, nimetumia dawa zote haikusaidia, kila siku kuku 2au 3 walikuwa wanakufa, nikaona watamalizika, nikachinja na kuwauza.
Miaka 25 au zaidi tunafuga kuku nyumbani, lakini tatizo kama hili sijawahi kuona, it's too much.
NjanoPole Sana Mkuu Hao Kuku Wako Walikuwa Wanaharisha Uharo Wa Rangi Gani
kwa ninavyosikia mkuu hao kuku changamoto zake anza na kuku kama 20 hivi ili usije jutaHabari zenu Wakuu,
Nahitaji kufuga kuku wa Mayai, ila sijui pa kuanzia. Naomba msaada wenu mnielekeze ili niweze fanikiwa lengo langu.
Je Nikiwa na milion mbili yatosha kuwa mtaji wa kuku wamayai?
kuku 200 kwa mtu anayeanza na hana experince kabisa ni risk sana,inafaa kwa kuku 200 kama banda unalo.
Umenitisha. Nilidhani kuku 200 ni wachache. Je unashauri mtu kama hana experience aanze na wangapi?kuku 200 kwa mtu anayeanza na hana experince kabisa ni risk sana,
Inaonekana una uzoefu kidogo. Humu watu wengi naona wanazungumzia sana kuku wa mayai kuliko wa nyama. Mimi napenda nianze na kuku wa nyama coz wanatumia muda mfupi mpk kuuza. Unashauri idadi ipi inafaa kwa kuanzia?Ukiamua kufuga kibiashara anza na hao 200 huku ukiendelea kujifunza kwa Tuliokutangulia kiuzoefu,chini ya Idadi hiyo ni hasara kwa faida yako Kuku awe wa mayai au wa Kawaida huanza kutaga kuanzia miezi mitano au sita kama atalishwa na kutunzwa vizuri. Sasa kufuga 100 au chini ya hapo kwa miezi hiyo utakuwa umepoteza muda mrefu.
Mi nafatilia mjadala huu nijifunze kituInaonekana una uzoefu kidogo. Humu watu wengi naona wanazungumzia sana kuku wa mayai kuliko wa nyama. Mimi napenda nianze na kuku wa nyama coz wanatumia muda mfupi mpk kuuza. Unashauri idadi ipi inafaa kwa kuanzia?
aisee sikutishi, kuku wana complications nyingi sana, usije ukasoma tu hapa j.f, watu wanakuambia inalipa inalipa, wewe ukaenda kujitumbukiza full ukitaka faida ya haraka haraka, utakuja kulaani ufugaji hadi uape kutofanya tenaUmenitisha. Nilidhani kuku 200 ni wachache. Je unashauri mtu kama hana experience aanze na wangapi?
wa kisasa/wa kienyeji bruh, lengo lake sio faida, bali aone jinsi ufugaji ulivyo ki ukweli ukweli, faida ataanza kuitafuta round ya pili baada ya kujua changamoto zake nje na ndani kwenye round ya kwanza, nimempa hiyo idadi ndogo kwa kua mtaji wake ni milioni 2, ili zisije zikaishia hapoMkuu hao 50 unaomwambia aanze nao ni wepi!. Labda wa kienyeji, lakini si wa nyama au mayai andika Hasara. Kingine kwa Mjasiriamali mfugaji, hakuna mfugo usio na hasara. Wajasiamali msisahau hii pia na biashara ambayo lazima kuna kipindi lazima changamoto ziwepo.Na kama ufugaji upo kwenye Damu hutaacha