Mashindano ya Mpira wa Miguu Tulia Trust Uyole Cup 2024 yanayofanyika katika Uwanja wa Mwawinji Uyole ya Kati Mbeya Mjini.
Mashindano haya Yanashirikisha Timu 32 ambazo zimepewa Vifaa vya Michezo (Jezi) Kwaajili ya Mashindano hayo.
*ZAWADI
•Bingwa Tsh.5,000,000/=
•Mshindi wa 2 Tsh.3,000,000/=
•Mshindi wa 3 Tsh. 2,000,000/=
•Mshindi wa 4 Tsh. 1,000,000/=
ZAWADI NYINGINE
•Mfungaji Bora Tsh.100,000/=
•Kipa Bora Tsh.100,000/=
•Timu Yenye Nidhamu Tsh.100,000/=
•Kikundi Bora Cha Ushangiliaji Tsh.100,000/=