Milioni 118 zaiunganisha Singida Fountaingate na Precision Air Tanzania

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Timu ya soka ya Singida Fountaingate ya mkoani Singida imeingia mkataba na Shirika la Ndege la Precision Air la Tanzania kuwa Msafirishaji wake.

Mkataba huo umelenga pia katika kutoa punguza la bei pamoja na kutoa tiketi za bure bila kusahau viongozi wa timu hiyo wanaingia moja kwa moja kuwa Mabalozi wa Shirika hilo la Ndege.
 
safi

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Madelu anaupiga mwingi
 
Habari njema sana hii kwa maendeleo ya soka letu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…