Milioni 20 gawa kwa Watu 35 wanagawana ngapi?

Milioni 20 gawa kwa Watu 35 wanagawana ngapi?

Ndenji five

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2021
Posts
1,985
Reaction score
3,109
Unaweza kuona watu wanafaidi baada ya kusikia wamepatiwa pesa hiyo.
 
Hivyo naona ni jitihada za dhati na hatua nzuri kwa serikali ya awamu ya 6 inayoongozawa na Mhe Dkt Rais Samia Hassan Suluhu.

ASANTE MAMA
 
Milioni 20 ina sifuri ngapi ?
35 ina sifuri ngapi ?
 
Cha kupewa hakina nyongeza, hiyo ni hamasa usiangalie kiwango angalia imetoka kwa nani.
 
Kama haitoshi wafunge magoli mengi zaidi dau liongezeke
 
Back
Top Bottom