Ndenji five JF-Expert Member Joined Nov 1, 2021 Posts 1,985 Reaction score 3,109 Jun 3, 2023 #1 Unaweza kuona watu wanafaidi baada ya kusikia wamepatiwa pesa hiyo.
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Jun 3, 2023 #2 Hivyo naona ni jitihada za dhati na hatua nzuri kwa serikali ya awamu ya 6 inayoongozawa na Mhe Dkt Rais Samia Hassan Suluhu. ASANTE MAMA
Hivyo naona ni jitihada za dhati na hatua nzuri kwa serikali ya awamu ya 6 inayoongozawa na Mhe Dkt Rais Samia Hassan Suluhu. ASANTE MAMA
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Jun 3, 2023 #3 Milioni 20 ina sifuri ngapi ? 35 ina sifuri ngapi ?
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Jun 3, 2023 #4 Laki 6 kasolo si haba
Yoav Gallant JF-Expert Member Joined May 23, 2023 Posts 2,122 Reaction score 4,699 Jun 3, 2023 #5 Cha kupewa hakina nyongeza, hiyo ni hamasa usiangalie kiwango angalia imetoka kwa nani.
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 13,544 Reaction score 43,537 Jun 3, 2023 #6 Karibu Tz
Mr.Wenger JF-Expert Member Joined Nov 20, 2014 Posts 2,569 Reaction score 6,165 Jun 3, 2023 #7 Kama haitoshi wafunge magoli mengi zaidi dau liongezeke