mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,387
- 2,444
Ukiwa less informed person ndiyo matokeo hayo!Sometimes nawaza nikubaliane na ile motion ya "Education is better than money" [emoji3] Sa mtu una hela halafu unaanza kujiaibisha kuomba omba watu wakusaidie kuinstall whatsapp [emoji1787][emoji1787]
Tatizo ni Upeo🙏Usitamani vya Wanaume IPO siku utainamishwa
Zinabeba vingi zile, acha tuuEenhe ndio, na kule kigoma wanabebea abiria.
Mazda sio gari.View attachment 1983933
Huna haja ya kuchoma mamilioni yote hayo chukua hako ka mazda hakazidi milioni 20 zimgine mnunulie mchepuko ka gari au binti yako aliyeko hapo CBE
Mazda nayo Ni gari?View attachment 1983933
Huna haja ya kuchoma mamilioni yote hayo chukua hako ka mazda hakazidi milioni 20 zimgine mnunulie mchepuko ka gari au binti yako aliyeko hapo CBE
Vanguard heshimaHuyu mleta Uzi atakua ni Muha wa Ujiji
Unapozungumzia mazd una refer mazda ipi? Na unalinganisha na gari gani kwa bajeti ya mnunuzi?Mazda nayo Ni gari?
Sometimes nawaza nikubaliane na ile motion ya "Education is better than money"
Kipanga kunategemeana, kuna mtu kajenga mjumba huko Goba, akahamia, akahama kwenda kupanga nyumba nyingine, sababu barabara ya kwenda kwake haina Lami.Daa.
Watu wanahela wanafikiria wanunue usafiri gani ..alafu unakuta bado amepanga ila ananunua gari..mi natafuta ya kuchimba choo tuu nipange ma tairi nihamie huko hivyo hivyo nakosa.
Inauma sana.
Muulize kwanza anahitaji gari kwa shughuri gan na uwezo wake wa kuhudumia gari uko vp utampa jibu sahihi kwa style ya uulizaji uo mnaweza peana lawama mbeleni au mkaponhezanaKuna mtu kaniomba ushauri hapa kwamba ana milioni 35 anahitaji gari nzuri ila isiwe vanguard ama harrier.
Mimi sio mtaalam wa magari, naomba mnaojua magari mnipe mawazo nikampe mshikaji.
Ahsante.
Mawazo ya kimaskini haya. Unaenda kujifungia Mabwepande hukoo. Kiss unaishi kwako. Choo cha matairi, really?Daa.
Watu wanahela wanafikiria wanunue usafiri gani ..alafu unakuta bado amepanga ila ananunua gari..mi natafuta ya kuchimba choo tuu nipange ma tairi nihamie huko hivyo hivyo nakosa.
Inauma sana.
Ni Probox..Gari fulani hivi binafsi sizijui jina, wanaziagiza sana watu wa Kigoma.
Hii [emoji116]Chukua Volkswagen toureg hii ndinga utapata heshima mjini na kijijini... land cruiser V8 anapata shida Kwenye hiyo mashine
Probox?Gari fulani hivi binafsi sizijui jina, wanaziagiza sana watu wa Kigoma.