Milioni 4, kiwanja kinahitajika 20×20 umeme uwepo karibu

koplo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
574
Reaction score
153
Wadau mimi mwenyewe nahitaji kiwanja kwa ajili ya ujenzi. Kisiwe kwenye muinuko! Maeneo ya Kitunda, Kivule, Moshi bar Ukonga sihitaji eneo jingine. Umbali toka kituo cha basi kwa kutembea usizidi dk 15
 
Wadau mimi mwenyewe nahitaji kiwanja kwa ajiri ya ujenzi. Kisiwe kwenye muinuko! Maeneo ya kitunda,kivule,moshi bar ukonga sihitaji eneojingine. Umbali toka kituo cha basi kwa kutembea usizidi dk 15

Rukwa?
 
mkuu kuna eneo lipo pale pale moshi bar , ngozo ya umeme imesimikwa hapo hapo kiwanjani na kimezungukwa na nyumba ambazo tayari watu wanaishi zina umeme na maji , bei ni 10m tutafutane tufanye biashara 0657 14 55 55
 
kiongozi kuna kiwanja kipo hapo mosh bar karibu kabisa na kituo cha daladala umeme na maji vipo hapo hapo ni mwendo wa hatua mbili tu , bei kinauzwa 10m , nitafute tufanye biashara 0657145555
 
Nimepata wadau thanx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…