Milioni 7 naweza kujenga nyumba ya kuanzia maisha?

Milioni 7 naweza kujenga nyumba ya kuanzia maisha?

yousaw

Senior Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
160
Reaction score
128
Habari wakuu,

Naomba kusaidiwa mawazo kwa wale WAELEVU wa mambo ya ujenzi, hv 7M naweza kujenga ka'nyumba ka aina gan ka kuanzia maisha!

NB: Kiwanja ninacho!!

Thanks
 
Ngoja waje
Niko paleee nimetulia nasubir mkuu
Unapandisha nyumba ya vyumba vinne bila finishing lakini unaweza kuishi
Shukran mkuu, ila nahitaji ka nyumban kakamilike niwaze mengine ata kama ni kadogo
For 7m mzee.hapo utaweza kupandisha nyumba mpaka lenta.ambayo ni kubwa tu mpaka koz tatu.laa piga msingi wa raman yako unayoitaka ndogo halalfu pandisha chumba kimoja chako juu funika bati ingia .inategemea na mkoa uliopo
Thanks mkuu, Niko dar lengo langu nilikuwa nataka kibanda kikamilike kabisa niingie hata kama ni kadogo hakuna shida.
 
Niko paleee nimetulia nasubir mkuu

Shukran mkuu, ila nahitaji ka nyumban kakamilike niwaze mengine ata kama ni kadogo

Thanks mkuu, Niko dar lengo langu nilikuwa nataka kibanda kikamilike kabisa niingie hata kama ni kadogo hakuna shida.
Kuwa mvumilivu tu. Usijenge kinyumba kidogo sana. Bora ujenge kubwa hamia kwa jinsi ilivyo utamalizia pole pole.
 
Achana na ishu za nyumba ndogo. Utakuja kujuta mbeleni, unless una uhakika mzuri wa kipato kikubwa zaidi mbeleni.

Tafuta ramani yako kubwa nzuri, anza na msingi, pandisha chumba kimoja. Hivyo vingine vitakuja tu kumalizika huko mbeleni hata kama ikakuchukua miaka 10.
 
Habari wakuu,

Naomba kusaidiwa mawazo kwa wale WAELEVU wa mambo ya ujenzi, hv 7M naweza kujenga ka'nyumba ka aina gan ka kuanzia maisha!

NB: kiwanja ninacho!!

Thanks

Aisee ni pesa ndogo sana ila unaweza kujenga vyumba viwili na sebule.

Ila kama unataka kujenga kwa kuunga unga tengeneza msingi wenye ramani nzuri huko mbele alafu chumba chako na sehemu utayoipa sebule kwa mda ili ukiwa unaendelea hapo unaweka tofali kupandisha msingi ulio tayari mpaka nyumba inakamilika.
 
Mpaka sasa bado hujaanza maisha [emoji848]
 
Back
Top Bottom