Ipi dot com JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 306 Reaction score 166 Jul 29, 2013 #1 Habari wakuu, nahitaji mkopo wa haraka wa shilingi milioni mbili. Dhamana nyumba hapa dar,kwa anaeweza kunifahamisha wapi naweza pata tafadhari nawasilisha
Habari wakuu, nahitaji mkopo wa haraka wa shilingi milioni mbili. Dhamana nyumba hapa dar,kwa anaeweza kunifahamisha wapi naweza pata tafadhari nawasilisha
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,568 Reaction score 9,710 Jul 29, 2013 #2 Ushauri wa Bure. Nenda Bank utaupata fasta fasta