Milioni mbili za Mkopo Wa biashara marejesho yatakuwa shilingi ngapi?

Milioni mbili za Mkopo Wa biashara marejesho yatakuwa shilingi ngapi?

Nguva Jike

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
1,226
Reaction score
1,757
Hi JF!

Baada ya kujipanga kibiashara sasa nataka kukuza mtaji naplan kuchukua M2.Marejesho yatakuwa shilingi ngapi Kwa mwezi? Napenda kujua kutoka Kwa wazoefu kabla ya kwenda huko benki. Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jazia nyama mkuu wa wakuelewe!

kwa mfano tasisi/bank gani?

unataka kurejesha kwa mda/miaka mingapi?

riba za tasisi/bank husika nazo zinaweza kuamua mda wa kurejesha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huo mkopo ni wa muda gani. Pia ukijua riba ni asilimia ngapi kwa mwaka hesabu inapigwa kirahisi sana
 
Hi JF!

Baada ya kujipanga kibiashara sasa nataka kukuza mtaji naplan kuchukua M2.Marejesho yatakuwa shilingi ngapi Kwa mwezi? Napenda kujua kutoka Kwa wazoefu kabla ya kwenda huko benki. Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG_9318.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom