Milioni saba mezani

G'taxi

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
6,625
Reaction score
8,639
Enyi ndugu,nisaidieni kwa ushauli wenu juu ya jambo hili,nina milioni saba kamili na ninatafakali ni biashara gani nawe fanya kwa mtaji huo mdogo na nikasogeza pesa hiyo kutoka M7 na kuendelea,ushauli tafadhari
 
kama id yako ilivyo agiza carina fanya taxi baada ya miezi kadhaa pesa yako imerudi agiza nyingine.
 
Yani una hela hujui cha kufanyia?

Nadhani wewe sio mjasiriamali.
 
Nikopeshe mimi baada ya miezi mitano nikupe m12. Wakati huo utakuwa unatafakari nini cha kufanya.
Seriously, niPM tufanye kazi.
 
Nenda Zanzibar chukua nguo nenda kauze pale Kariakoo, uza kwa jumla, kipindi hiki cha sikukuu kwa m7 unaweza kupata m1 au zaidi kama faida. Uje na feedbck
 
Nikopeshe mimi baada ya miezi mitano nikupe m12. Wakati huo utakuwa unatafakari nini cha kufanya.
Seriously, niPM tufanye kazi.

Baada ya miezi 5 umrudishie 12m? Unataka kufanya biashara gani inayokulipa hvy na sisi tujaribu?
 
Baada ya miezi 5 umrudishie 12m? Unataka kufanya biashara gani inayokulipa hvy na sisi tujaribu?

Ukiwa ndani ya field ni rahsi sana kucatch fursa. Yeye anipe hiyo hela aje kwenye eneo langu la kazi na ndo itakuwa collateral yangu. Nimeshindwa, anachukua mali yangu na nikitu kisichowezekana kushindwa kutoa return once nikiinvest 7M nauhakika wa kupata 40M ndani ya miezi mitano.
 
Kiongozi tukaribishane, biashara gani hiyo au nije pm?
 
Duh! Kweni mimi nimesema nataka kumpa mtu pesa?why ukishindwa kutoa ushauli usiipotezee tu ukafanya yako? Asante ndugu Utafiti,nimepata mawazo yako
 
Duh! Kweni mimi nimesema nataka kumpa mtu pesa?why ukishindwa kutoa ushauli usiipotezee tu ukafanya yako? Asante ndugu Utafiti,nimepata mawazo yako

Mkuu, sikuwa na maana kwamba huwezi kuifanyia kazi hela yako. But the thing is ni hatari kuingia kwenye biashara kwa kujaribu na hasa kama ni mara yako ya kwanza. Mimi sihtaji kuuliza niifanyie nini M7 coz nimpiganaji nipo kwenye field kitambo fulsa nyingi sana nimeziona na nishafanyia upembuzi yakinifu.
JF kuna threads kibao ambazo zingekuwa msaada kwako, jaribu kuziperuzi kimya kimya zitakuelekeza nini cha kufanya.
Kila la heri mkuu G'taxi
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa umesema kiongozi,wabeeja sana nkoyi Kisima!
 
No hiyo nayo ni biashara aliyokushauri kwani kila mwezi unamake 1M
Duh! Kweni mimi nimesema nataka kumpa mtu pesa?why ukishindwa kutoa ushauli usiipotezee tu ukafanya yako? Asante ndugu Utafiti,nimepata mawazo yako
 
Kiongozi tukaribishane, biashara gani hiyo au nije pm?

Mkuu leonk ntakukaribisha. Najiandaa niifungulie uzi maalum kwenye jukwaa letu pendwa ili kila mtu a'digest kwa muda wake. Nchi yetu ina uwanja mpana wa kumfanya kijana awe tajiri, tatizo ni uwezeshwaji na moyo wa kujitoa.
 
Last edited by a moderator:
No hiyo nayo ni biashara aliyokushauri kwani kila mwezi unamake 1M

Mkuu sana usiniguse nashukuru kwa kuliona hilo lakini ni bahati mbaya sana mwenye mtaji hajaiona hiyo faida inahisi kuna biashara nyingine yenye kumuingizia super profit kuliko hiyo. Ukizingatia ndo kwanza anaingia kwenye game!!!
Mkuu @G'tax huku ni stress-free-zone ukianguka unainuka, unafuta mavumbi na kuangalia wapi ulijikwaa kisha unatafta way forward!
 
Last edited by a moderator:
Nenda Zanzibar chukua nguo nenda kauze pale Kariakoo, uza kwa jumla, kipindi hiki cha sikukuu kwa m7 unaweza kupata m1 au zaidi kama faida. Uje na feedbck

Hili wazo usijaribu kabisaaa,Zanzibar mie nipo huku licha yakwamba ni Mtu wa Bara,na wafanyabiashara wananunua nguo Dar na kuja kuuza huku.We kaulize wale wapemba wanaolima kule Morogoro wamekimbia nini,utapata jibu.
Zanzibar sio ile ya miaka ya 2000 kushuka chini. wakati huo ambapo Soko la Hongkong,Thailand,China halijafunguka.Zanzibar ilikuwa inategemea soko la Dubai ambapo Dubai wenye Taabani katika biashara.Watu wote wamekimbilia . Hongkong Thailand,China
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…