Milioni saba mezani

nakushauri urudi kwanza darasani... Hizo pesa zitaishia kuliwa na wajanja kama hauna elimu ya entrepreneurship na finance...

Wanasema mali bila daftari huisha bila taarifa ya habari..
 
nakushauri urudi kwanza darasani... Hizo pesa zitaishia kuliwa na wajanja kama hauna elimu ya entrepreneurship na finance...

Wanasema mali bila daftari huisha bila taarifa ya habari..
Akafanye nini darasani? Mwache awekeze azalishe fedha. Nakushauri tafuta sehemu yenye watu wengi hapa Dar "watu wa pwani", nunua mashine ya kukamulia juisi ya miwa lipa kodi ya fremu piga mzigo, utaniambia.....
 
kwa hiyo darasa halina faida katika maisha eenh? haya kaka.. no need to talk too much!

mwambie a SwitchOn! we shall see!
 
Nunua gari ufurahie totoz mjini hapa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kweli binadamu tunatafautiana,wangapi waliopata pesa wakazitunza na kurudi darasani kwanza?nani kakudanganya kua darasani sikwenda?wangapi wanapiga kazi na shule hawana?wangapi wameenda darasani na wanapokuja mtaani kutafuta wanakutana na elimu nyingine na wanapaswa kupata ushauli kama niliohitaji?! Excel umechemka japo unajiona uko sawa,lakini Ubarikiwe pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…