Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Banzukulu nawasalimu kwa jina la Mungu Baba.
Nianze moja kwa moja na maudhui, katika hali ya kushangaza Uganda hasa katika jiji la kampala kumetokea milipuko iliyopewa jina la milipuko ya magaidi iliosababisha vifo kadhaa na majeruhi katika makumi, katika siasa za kikanda ulinzi wa pamoja na tahadhari jumuishi na shirikishi pia ni muhimu. Kwa muktadha huu, je, kuna namna yoyote serikali yetu sikivu imetoa tahadhari ya aina yoyote?mathalani mikusanyiko na hadhari zake, mahimizo mfano. Reporting any suspects aidha kwa kuainisha sehemu hatarishi.
Wadau wa mastarehe, nyumba za bata, mahotel, casinos, majengo au ofisi za taasisi, mawizara etc, supermarkets zenye ubatabata mwingi, maofisi nyeti pendwa na maborn town na masharo na mapisi.
Bongo Dsm na Mabasi ya mwendokasi tumejipangaje, magari ya mikoani buses, lories etc, Bajaji, Boda, Makesi kibao ya kubambikwa na traffic police kwenye zebra na hasira zote kadha wa kadha na uhatarishi katika vituo vya police.
Kama jamii pamoja na serikali na matawi yake tumejipangaje kwa kinga na tahadhari ya dhati?
Kinga ni bora kuliko tiba.
Kuilinda nchi na usalama wetu ni wajibu msingi na jumuishi na iwe shirikishi nyakati zote.
Naomba kuwasilisha.