Yes, Israel wakati wowote inaweza ikafanya hivyo, kama vile tu ilivyofanya kwa Iraq miaka ile. kitu kizuri ni kwamba, iran inayo makombora yanayoweza kufika hata Tel Aviv Jafo, lakini Israel wanayo technologia ya kuyadaka makombora yote hayo ya iran. pia, iran haijafikia kiwango cha kutengeneza bomb hivyo it is not time for Israel to do that, kuna vyombo vinachunguza usiku na mchana, israel wanayo ramani yote, hivyo wakati wowote wakishaona hapa kuna dalili ya kukamilika kwa bomb, lolote laweza kutokea bila kuomba ruhusa toka kwa mtu yeyote. Nenda kasome magazeti ya Jerusalem kwenye mtandao, soma na maeneo mengine utaona mengi kuhusu hili. Iran still ni mtoto mdogo sana kwa israel na USA.
the only salvation ya iran ni Hezbolah na Hamas, wafanye kama walivyokuwa wanafanya kipindi kile Lebanon, lakini cha ajabu ni kwamba, hata wakifanya hivyo, wanaoumia si raia wa israel, ni raia wa kiarabu tu. hivyo, kwa upande wangu, nasubiri na ninaomba Mungu nguvu ya kijeshi itokee hata leo hii kuiteketeza iran na Ahmadinejad wake.