Military Intelligence Coup: Kisa cha rubani aliyeiba na kutoroka na Ndege ya Kijeshi ya Iraq

the world is unfair

hahaha. Na watu wabaya like mataifa hayo ya 'kinyonyaji' wanafanikiwa sana sbb haweheshimu kanuni(they dont observe rules of the game) na taratibu huku mataifa 'mema' wanaheshimu.
 
hahaha. Na watu wabaya like mataifa hayo ya 'kinyonyaji' wanafanikiwa sana sbb haweheshimu kanuni(they dont observe rules of the game) na taratibu huku mataifa 'mema' wanaheshimu.
hatari sana ..yaani hilo tukio lilikuwa nilazaidi ya uchochezi aisee
 
kitendo cha huyo rubani kuiba hilo dege...kimechochea hadi kesho wakristo wa kiarabu kutokuaminiwa na kubaguliwa na waarabu wenzao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…