[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenyewe nmesoma title, nikaona na umeniita nikajua tu hapa kuna vitu flani hivi vile karucee anapenda.....nakutana na vitu gani sijui [emoji849][emoji849]
hamna kitu hapa [emoji124][emoji124]
Hawa mgambo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Khaaah sasa hapa utajuaje watu wamelala?Kama snipers hawa ni vigumu kuwaonaView attachment 2118726
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaan Tz labda vita vya ana kwa ana ila tukija kwenye Teknolojia dah dakika 0 tu Tz inawekwa kwenye historia kama ilikuwaga nchi
Hadi wanafundishwa mbinu za vita? Khaaaaahπͺ kwenye military hakuna kitu muhimu kama kumjua adui yako kujua mazingira yake,kujua madhaifa ya eneo husika ili mission iweze kamilika na huwa adui atakiwi aanze kukuona wewe ndiye unapaswa uanze kumuona adui πͺView attachment 2127344View attachment 2127345View attachment 2127346View attachment 2127347View attachment 2127349View attachment 2127350
Huyu ashawahi kuwa Mafinga JKt Iringa.Kama ni mpenzi wa kwenda Longoni beach lazima tu utakuwa ushawahi kumuona uyu jamaaView attachment 2128044
Ya wapi hiyo?View attachment 2120155
Hilo dude la juu ni multipurpose. Kifaru,daraja n.k