missyrose JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 3,014 Reaction score 7,361 Apr 15, 2021 #21 Mtoto hawezi kunyongea kwa kukosa nyonyo just for few hours..amnyonyeshe asubuhi kabla hajaondoka jioni akirudi aendelee kama kawaida mchana hapo ale vyakula vingine. Angekuwa hajaanza kula kweli ingekuwa shida..
Mtoto hawezi kunyongea kwa kukosa nyonyo just for few hours..amnyonyeshe asubuhi kabla hajaondoka jioni akirudi aendelee kama kawaida mchana hapo ale vyakula vingine. Angekuwa hajaanza kula kweli ingekuwa shida..