MILLAN vs BARCELONA

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,483
dak ya 14 xavi anaifungia barc.
mil 0-barc 1. over
 
robinho anakosa bao la wazi dak ya 19.yeye na kipa. hatimae dak ya 20 ibrahimovic anasawazisha.
millan 1 - barcelona 1. over
 
dak ya 22 messi anakosa goli la wazi. amepiga mpira ukamgonga kipa. over
 
dak ya 14 xavi anaifungia barc.
mil 0-barc 1. over
Sio Xavi bwana, Van Babo kajifunga mwenyewe. Yaani kama mechi ya jana ya ManU, kaona goli la Barca liko mbali. Ibrahimovic amerudisha lakini. Mpira mzuri ile mbaya.
 
puyol ni bonge la beki.duh!
 
Haya Messi anafanya mchezo kupiga penalt amekula yellow, anapiga tena. 1-2 Barca, penalt ya kubebwa.
 
Leo kazi ipo, Milan watayarishe kikapu. Mambo sasa hayaendi vizuri kwao, wanakoswakoswa ile mbaya.
 
messi alitishia wakati wa kupiga penalti ndo maana wakampiga kadi ya njano halafu kapiga tena ndo kafungwa.penalti imepigwa baada ya xavi kuangushwa ndani ya penalti box
 
hiki kipindi cha kwanza barcelona wanaonana sana. wanapigiana pasi sana kitu kinachofanya millan wahangaike kutafuta mpira. over
 
prince kaangushwa na puyol kwenye mustali wa 18 pembeni.millan wamepiga katika piga nikupige kidogo wapate goli.hii dak 45 barc wanakoswakoswa. over
 
Half time;
AC MILLAN 1 - FC BARCELONA 2
over
 
roho yangu huwa inapata raha ninapowaangaliaga wakicheza
 
mpira unaendela. barc kidogo wapate goli la 3. over
 
millan wanasawazisha kupitia kwa boateng ambaye katumia juhudi zake binafsi dak 54.
millan 2 - barcelona 2. over
 
foward wa barc wanakia si mchezo. duh!
 
xavi anaifungia barcelona goli la 3 dak 63.
millan 2 - barcelona 3.
over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…