Tetesi: Millard Ayo Aacha kazi CloudsFM

Status
Not open for further replies.
Wacheni kukuza mambo
Kama kweli atasema mwenyewe
 

Usirudie tena kudanganyaView attachment 372282

Jamaa kasema "nasikia", na kaja kuuliza kama ni kweli.

Hajadanganya, kaja kupata uhakika wa habari alizoambiwa kama ni kweli au la.

Nafikiri ni swala la kumwelewesha mleta maada kama alivyofanya myplusbee.
 
Mkuu labda unaugomvi na dogo sijaona mantiki yako mtu kuwa na mtu wa kujifunza mbele...anyway kila mtu na zake maisha ni safari
 
 


Mkuu mbona umeongea kwa hasira hivyo? Kila mtu anakuwa na role models wake. Kwani Millard Ayo kuiga hao uliowataja kuna shida gani? Je hao anaowaiga unajua nao walikuwa inspired na nani?

Kwa taarifa yako best employers/recruiters duniani wanaangalia potentials za mtu za kukua na kufika mbali. Wanaangalia zaidi best attitude na passion ndani ya mtu. Mtu akiwa navyo hivi hakuna kitu atashindwa kufanya ili kuifikisha mbali kimafanikio taasisi yoyote ile. Bahati nzuri hivi vitu vyote muhimu anavyo kijana Millard Ayo.

Of course, sina uhakika kama ni kweli ameipata hiyo kazi huko majuu...lakini sitashangaa kabisa kama itakuwa ni kweli. Millard Ayo atafika mbali sana labda abweteke na kulewa sifa kama wenzake wengine.

Tusikatishane tamaa. Tupeane moyo na kutiana nguvu. Hakuna aliyezaliwa anatembea.

Umasikini wetu ni akili na fikra zetu.
 
Kwa mtu aliyefikia level za Millard kimafanikio kuendelea kung'ang'ania kuajiriwa ni selfishness. Aachie fursa kwa vijana wenzie sasa yeye ana uwanja mpana saana wa kujiajiri na kuajiri.
 
Mbona unachanganya mambo jombaa?! Hivi kuwa Staa kunatafsiri wewe ndo bora?!By the way, ikiwa Millard Ayo anaiga basi nadiriki kusema jamaa ni genius katika nyanja za kuiga sauti za watu; WHY? Si Millard Ayo peke yake "anayeiga" watangazaji wengine lakini Ayo amefanikiwa kuwa consistent katika kutumia the same tone iwe anatangaza au katika maongezi ya kawaida! Watangazaji wengi ambao huwa wanaiga wengine huwa wanakosa tone consistent! Halafu kuna kingine ambacho unanifanya nimu-appreciate sana huyu jamaa!! Yaani katoka Arusha kaja Dar na katika harakati zake akawa anaishi anaishi Keko kumbe bado mwenzetu alikuwa anasikiliza radio za Unyamwezini hadi akaweza kuwaiga hao jamaa sauti zao???!!! Sasa kati ya Ryan na Ramero ni nani kamuiga mwenzake?! For what I know, Ayo ana consistent tone na kama amewaiga Ryan na Ramero ina maana wote hao tone/utangazaji wao umefanana na kwahiyo, kwa maelezo kuna mmoja kamuiga mwenzake!
 
Jina la Millard Ayo siyo geni sana masikioni pangu, hivi ni nani huyu?
 
Inawezekana kama ni kweli honera kwake kwani atakuwa amepiga hatua
 
Uliyosema yote ni kweli, lakini, ingawaje ameongea kwa kejeli, moja ya hoja ya KiZunguMukuti ni sahihi kwamba, labda aajiriwe na Mbongo or anyone similar na Mbongo kwavile kuna lots of Online Radios US zinazomilikiwa na Waafrika! Kuajiriwa na Radio zinazotambulika za US hususani zile za Wamarekani wenyewe ni ngumu sana; ni kama alivyotania Saint Ivuga kwamba
Us kwa english ipi aliyo nayo? Donald atamrudisha tu.. Kule us atabaki Mange
Si kwamba Millard Ayo hajui Kizungu lakini ni ngumu sana michongo kama hiyo apewe non native English Speaker! Hata hawa Wakenya na mbwembwe zao za kujua Kiingereza, mbwembwe zao zinaishia East Africa lakini Mbele no one recognize them as English Speaker na ndio maana wakiwa mbele wanajitambulisha sana na suala la kufahamu Kiswahili ili wapate michongo inayohusiana na lugha ya Kiswahili na sio English! Wakenya wanaathiriwa sana na Kenyan strong accent waliyonayo kwenye Kiingereza chao! Wazungu hata uwe mkali namna gani wa grammar na tenses, tena upo very fluent, lakini kama Kiingereza chako kina strong accent inayoweza kukutambulisha kirahisi kwamba you're not an American (for US) basi hizi kazi zinazohusu kurusha sauti yako utafanya kuzisikia tu! Na si kwamba ni ubaguzi, no, ni kama ambavyo wewe sitarajii kwamba unaweza kumwajiri mtu mwenye strong Sukuma or Chagga strong accent awe ndie mtangazaji!!
 
Kuiga kwake kwa watangazaji wa mbele ndio kumemfanya tumkubali na kumuelewa kuliko watangazaji wote sasa ulitaka amuige ndugu yako
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…