Kumbe unajua sabab si kwangu tu hata kwa yule Dada yako pia hamkopi...Kwanini wasema hivyo....?? Au Wewe hakopi kwako....??
Raha ya ubuyu ni kuweka mambo kweupe,huyo dada ni nani?Nilisikia kwamba Millard akienda mahali anakuwa na mbebez wa hapo kupitisha sha usiku.....
Nakumbuka last year kuna mdada jina kapuni alikua mpenzi wake, dada akapost picha zao insta weee.... Dakika sifuri sijui ikawaje nikaona kadelete kila kitu hahahahahha
Mhhhhh ni yepi tena hayo Sheikh [emoji86]Watoto wa morogoro watata sana.sitaki kukumbuka kilichotaka kunitokea Bahati nzuri busara na Hekma zikatumika lasivyo ningeaibika mtu mzima.
Huruma kumuanika.... Ila watu wamefunguka sana. Ndio tabia yake jamaa kila anapoenda anakua na mtu wa kupitisha usikuRaha ya ubuyu ni kuweka mambo kweupe,huyo dada ni nani?
Halafu si nasikia Millard kaoa?
Wanaume bwana!
Hee nifa.... Upo? Nlikua nafatilia kwa karbu mtanange wa mange kwenye uzi wako.... Skukuona Jana... Vipi kwema?Mhhhhh ni yepi tena hayo Sheikh [emoji86]
Hakuna ubaya ulofanyika walitaka kuniuzia kesi. Ha ha mzima nifah umepotea sana hapa jukwaani.Mhhhhh ni yepi tena hayo Sheikh [emoji86]
Bora basi watetee hawa wake zetu,lakin unakuta jitu na ndevu zake eti Millard anasingiziwa,hawajui ni bora huyo jamaa yao anapopata skendo kama hizi?mana habari ya mjini ni kwamba jamaa anafuga joka lisilo na meno.Mbona mnamtetea millard ina maana yeye ni malaika!
Nipo mkuu,busy sana si unajua maisha magumu?Hee nifa.... Upo? Nlikua nafatilia kwa karbu mtanange wa mange kwenye uzi wako.... Skukuona Jana... Vipi kwema?
Dah pole sana mkuu,acheni mechi za mchangani...matokeo yake always huwa ni mabaya/aibu.Hakuna ubaya ulofanyika walitaka kuniuzia kesi. Ha ha mzima nifah umepotea sana hapa jukwaani.
Bora basi watetee hawa wake zetu,lakin unakuta jitu na ndevu zake eti Millard anasingiziwa,hawajui ni bora huyo jamaa yao anapopata skendo kama hizi?mana habari ya mjini ni kwamba jamaa anafuga joka lisilo na meno.