Millard Ayo achafuliwa Instagram

Kweli penye miti hapana wajenz milard hanaga mamb hayo kama ingekua hivyo asingempa elfu kumi huo ni uwongo
 
Dah pole sana mkuu,acheni mechi za mchangani...matokeo yake always huwa ni mabaya/aibu.

Mzima,nipo Mkuu.
Itabidi nitenge muda wa kuingia humu,kweli nimepotea sana.
Ha ha sawa.usipotee sana aisee.
 
Naona Kuna mtu kam-tag @James_delicious😀
😀😀😀😀😀😀 Naipenda nchi yangu jaman.
 
😀😀😀😀😀 staki ujinga mimi
 
Hiki kizazi kina laana tena laana kali. Yaani huyu fuska anamwambia mwenzake...Mungu anakuona?!! Huyu Mungu sasa amekuwa wa level sawa na Msaga Sumu kiasi mtu ukitaka tu kuchekesha watu unamtaja?

Mungu atupe rehema. Midomo yetu ni michafu zaidi ya choo cha stendi ya mkoa na akili zetu ni fupi kuliko miguu ya kiroboto. Pumbavu sana
 
amri ya pili ya MUNGU:[emoji116] [emoji116] [emoji116]
USILITAJE BURE JINA LA BWANA MUNGU WAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…