Millard Ayo achafuliwa Instagram

Nyapu 4 free.com ha ha ha huyo dada kakaa karbu miez sita ndio anakuja kudai leo,,ha ha ha ukitaka nyapu bure bure utaumbuliwa bure bure ila yte yanawezekana kwamba ni kwel au sio kweli,ila kama ni uongo namjua yule mmeru atamfungulia kesi
 
Mtu wa nguvu alibiduka kwa 10 lkn uyo demu boya kweli mabodaboda yamejaa ivyo alipanda tax ili iweje na hali ya Magu hii me natoa bok 5 hata uje na tax
 
Kwani bado sh ngapi ktk hiyo advance?kama VP tumchangie MTU wa nguvu deni hili....
 
Ii kiki ni gud kwa Millard ila naweza hisi imepandikizwa kumpa ayo kiki,ni maoni yang
Kubandikwa kadamnasini umedhulumu, hata ikiwa papuchi ni matusi makubwa. Sasa wewe wasema ni kiki! U-kibaka ni kiki? Wara dhe mining av kiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…