Millard Ayo hongera sana ongeza bidii kujituma vijana tupate cha kuiga

Millard Ayo hongera sana ongeza bidii kujituma vijana tupate cha kuiga

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Kuna msemo wa kinyiramba unasema Hard work pays, hii imethibitishwa na MD wa clouds fm kwa kutania na kusema Millard Ayo amempita boss wake mshahara kwa kumaanisha Millard ni.kati ya watangazaji wanaolipwa mshahara mzuri kwenye tasnia ya habari na hii inatokana na juhudi yake ya kufanya kazi. Nakumbuka kipindi kile Kusaga alimpa motivation ya kutembelea Dubai baada ya kupokea tuzo ya mtangazaji bora kwa mwaka ule na bado anazidi kujituma kwa kupata endosment za kutosha kama vodacom, GSM na nyinginezo. Mungu azidi kukuongoza na wengine tupate vingi vya kuiga.
Screenshot_20181204-180108_Instagram.jpg
 
Millard ayo.com haina tofauti na wasafi(kama tunavyosikia),Ruge anashare kubwa sana na hiyo millard ayo
 
Si alianzia ipp media hko walikuwa wanabanwa na mzee yule
Maana mzee yule anakaba mpk kivuli
Clouds ndy katokeaaa

Ova
 
Bongo bila kubana wabongo wanaiua kampuni alafu wanakuacha huwajui wabongo we
Si alianzia ipp media hko walikuwa wanabanwa na mzee yule
Maana mzee yule anakaba mpk kivuli
Clouds ndy katokeaaa

Ova
 
Vp kuna tetesi kua YUKO KWENYE LIST YA 3 ya KONK KONK MASTER.
 
Back
Top Bottom