Millard Ayo kawa mmoja kati ya watanzania waliopata nafasi ya kusoma course ya IVLP

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
22,135
Reaction score
48,827
Millard Ayo anaweza kuwa mtanzania wa pili baada ya Mwl Nyerere kwenda Marekani kwenye course ya International Visitor Leadership Program mwaka 1960.

Course hii inatolewa kwa International leaders kwenda Marekani kujifunza kuhusu uchumi, siasa, jamii na tamaduni za Marekani.

Course hii iliyochini ya ofisi ya Rais wa Marekani, nafasi zake hutolewa na balozi zake duniani kote lakini kwa watu maalum wanaonekana kuwa watakua viongozi wa baadae au wa sasa.

Hawa ni baadhi ya viongozi mashuhuri waliopata nafasi ya kusoma Course IVLPView attachment 1051636
 
mwaka jana nina friend yangu anaitwa angel .... alipelekwa na us embassy hiyo course.. ni mdada tu anauza mchele wake safi..
mtu yeyote ukiwa unajituma us wanakuendeleza.. wakiona una potential..

us wanapenda sana vijana wawe na vimiradi vyao binafsi... hata kina mike wa jamiiforums washaenda hizi
 

Ni jambo zuri sana
 
Kwa hiyo jamaa kusema ayo ni mtanzania wa 2 ni anatudanganya

Sent using Brain
 
Hata mwaka huu hayuko mwenyewe, wala sio wa pili baada ya Nyerere

Yupo na Khadija Jabri yule dada analima mboga Iringa huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaio mleta mada alitaka kuudanganya umma au alikua hajui anachokizungumza
 
Mtu wa 2? Hehehehe hiyo course sio anything special wabongo walioenda ni wengi balaa. Entrepreneur yeyote akitaka anajiunga kirahisi tu hakuna special invitation wala nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…