Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Millard Ayo wewe ni kijana mbunifu na mwenye kuheshimika na jamii lakini kuwa makini kuna magroup ya whasap ya video za ngono na picha za ngono yanatumia brand yako ya millard ayo sasa je ni kweli ni wewe kama hujabariki hayo magroup plz jitenge nayo yanakuharibia brand yako !!
Nimimi fan wako superbug !!!!
Nimimi fan wako superbug !!!!