Ugiligili bana[emoji23]Shudu
Ajitenge vp? Atajuaje kuna magroup hayo? Bora ingekua facebook, insta au twitter angeona. Whatsaap mkuu???Millard Ayo wewe ni kijana mbunifu na mwenye kuheshimika na jamii lakini kuwa makini kuna magroup ya whasap ya video za ngono na picha za ngono yanatumia brand yako ya millard ayo sasa je ni kweli ni wewe kama hujabariki hayo magroup plz jitenge nayo yanakuharibia brand yako !!
Nimimi fan wako superbug !!!!
Hiyo ishu minor sana kuanza kudeal nayo yeye, maana yeyote anaweza akaanzisha group akaliita superbug muda na wakati wowote na wewe huwezi kujua km hujapatiwa taarifa na mtu, pia unaweza kupoteza muda wako kudeal na ishu km hizo utachelewa kufanya mambo yakoAtoe tamko kwenye media yake kuyakana magroup ya ngono ya whasap yanayotumia jina lake na picha yake simpo tu.