Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,947
- 7,939
Ni kijana mwenye mawazo mapana sana japo umri si mkubwa sana , anasema siwezi kuwa na mapenzi ya chama ikiwa nchi ni masikini sana. ''Nimebahatika kwenda nchi tofauti nchi yetu ni masikini sana nitasupport mgombea yeyote atakayenishawishi kuwa na uwezo wa kuleta maendeleo.'' alisema.
Nilikuwa sikufikiri angaliweza kujibu ki-ufasaha vile kwa jinsi mtangazaji alivokuwa aki-press ili Ayo ataje chama specific na mgombae specific.
Nilikuwa sikufikiri angaliweza kujibu ki-ufasaha vile kwa jinsi mtangazaji alivokuwa aki-press ili Ayo ataje chama specific na mgombae specific.