Huyo dogo ni chadema damu,ameona Nassary mambo aliyo yafanya kwa muda mfupi sio mchezo.amepeleka maji na umeme makiba,samari,kwa ugoro, karangai na ngarenanyuki kitu ambacho maccm yameshndwa kwa miaka 50

Ok, whats the big deal. He only said what most of us are thinking!!!! I feel the same way.
He's a celebrity...
And this is celebrities forum...
Huyo dogo ni chadema damu,ameona Nassary mambo aliyo yafanya kwa muda mfupi sio mchezo.amepeleka maji na umeme makiba,samari,kwa ugoro, karangai na ngarenanyuki kitu ambacho maccm yameshndwa kwa miaka 50
Huyo dogo ni chadema damu,ameona Nassary mambo aliyo yafanya kwa muda mfupi sio mchezo.amepeleka maji na umeme makiba,samari,kwa ugoro, karangai na ngarenanyuki kitu ambacho maccm yameshndwa kwa miaka 50
Mnawaamin mpaka kina milad ayo polen elimu yake kichwan haisomeki ngoja muswada wa habari maccm waupitishe watangazaji wote Lazima wawe na degree
mi nafikiri umeme umepelekwa na wananchi wenyewe, hela tunazokatwa sasahivi watumia umeme na mafuta utasemaje serikali ndio wamepeleka? au wewe ni mmoja wa watu wanaoamini maendeleo yakifanyika kwenye jimbo lenye mbunge wa upinzani ni serikali ndio imepeleka ila yakifanyika kwenye jimbo la mbunge wa ccm basi mbunge husika ndio amepelekaAcha kuongea pumba elimu haijakusaidia Nassari ajawahi kutoa ela mfukoni kutoa umeme mkadanganye wapumbavu wenzenu. ..umeme umeletwa na serikali kuptia mpango wa umeme vijijin REA chini ya Udhamini wa serikali ya marekan kuptia mpango wa Power the Afrca kupitia MILLENIUM CHALLENGE ACCOUNT. .copy kawaeleze na wenzako ungetuambia ata waziri muhongo kama msmamizi mkuu tungekuelewa