Baraka F.K
Member
- Aug 28, 2012
- 79
- 28
b12 wakat anapatkana nlkuwepo pale bilcanass
si kweli...b 12 alianza tasnia ya utangazaji akiwa arusha chini ya kapten gadner g habash aliekuwa mkurugenzi katika kituo cha matangazo ya kibiashara cha clouds. kapten ndiye aliemintroduce # kumi nambili kwenye ramani ya utangazaji
Ndo nani hao??
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
haya ni majembe Tanzania kwenye tasnia ya uandishi wa habar ...je unampa nan shavu kat yao???
Kwa iyo unanipangia cha kuandika ama?????yaan we unaingia hili jukwaa kwa ajili ya kuhate watu tu ama?maana nimeona post mbalimbali unauliza the same question
Kwa iyo unanipangia cha kuandika ama?????
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
b12 si ndo mnasemaga wanamfanyaje sjui
B12 Dar kaja kwa barua ya mwenyekiti wa kijiji,
Sikia B12 katokea Arusha moja kwa moja fresh frm skul na kuanza kutangaza Clouds Arusha baadae ndo akaja Dar..
Toa udhibitisho B12 alishiriki search Billicanas mwaka gani?
Washiriki wenzake ni kina nani?
Acha kukariri, pia acha story uliyoickia kujifanya ulikuwepo
haya ni majembe Tanzania kwenye tasnia ya uandishi wa habar ...je unampa nan shavu kat yao???