Millard Ayo wa 2005-2008

beautifulonyinye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
728
Reaction score
481
Habari wakuu,

Millard Ayo amepost picha yake kipindi bado anaanza maisha. Kusema ukweli imenigusa sana na ni mfano wa kuigwa, anakumbuka alipotoka na anatuonyesha sisi vijana kwamba mafanikio hayaji kirahisi lazime tupambane.

Big up Millard Ayo Mtu wangu wa nguvu.



 
huyu kijana hustle zake zinaonekana wazi kabisa from bottom hadi alipo hapo, kuna watu ukitaka kuwa inspired nao hapa bongo huwezi acha kumtaja millard pamoja na Diamond, jamaa tumewaona since wanatoka hadi leo so hii inaweza kukupa nguvu ata kama ulikata tamaa na maisha
 
Kweli kabisa mkuu yaani ameniinspire sana
 
Nampenda sana mtu wa nguvu Millard Ayo na kiukweli ametoka mbali ila kakaza cha muhimu ni kutokukata tamaa
 
Jina la Bwana libarikiwe sana
 
Ila na yeye sometime aache undorobo,anashindwa kuripoti habari za jide kisa kazinguana na boss wake! umakini wake hautokua na maana km ataendelea na undezi huu!!..... by the hongera zake sana Ayo.

Neema na Barala za Mungu ziendelee kuambatana nawe mpaka ushangae! barikiwa saanaaaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…