Millen Magese awatoa wanaume udenda

kabla hajawa miss tz alikuwa anagegedwa na mwana mmoja jirani yetu pale ubungo national housing,dah
she never thought she would reach this far,wakina wema wamekalia upuuzi tu,mamiss wa zamani walikuwa na vipaji sio hawa watoto wa sasa hata kufatilia hayo mashindano nimeacha siku hizi..
 
da kwa mjengo tu kanifurahisha kama kweli upo bongo huo...
 

baadae Twissa akagegeda
 
kudos to her! tuonyesheni na mjengo wa flaviana matata! au ana kazi tu ya kuwa karibu na russell simons, halafu hata banda hana!
 
baadae Twissa akagegeda
twissa ni noumer! sasa anagegeda eleonora maruma wa hapo stanbic bank, hivi bado anapakua pale? au keshatupa kule kama kawaida yake!? mtchewwwwwwwwwwwww!
 
twissa ni noumer! sasa anagegeda eleonora maruma wa hapo stanbic bank, hivi bado anapakua pale? au keshatupa kule kama kawaida yake!? mtchewwwwwwwwwwwww!

Ngoja nitafanya intelijensia yangu si unajua info nyingi zinanipita tokea nije huku kwenye GECHI...
 
kumbe nyumba ya shemeji yako ni yako? Sikujua.........!!!!!!
 
manyoyaaa!!!....hii nyumba sio yake ni ya mme wa dada yake na millean magese,huyu mwenye hii nyumba ni mtu mmoja ana hela mbaya jamaa kwanza ukiingia kwenye hii nyumba hapo sebuleni unakaribishwa na picha kubwa ya huyo jamaa kavaa nguo za chama tawala akiwa ameshikana mkono na kiongozi mmoja mkubwa nec na nahisi huyu jamaa atakuwa nec....mimi nimeshawahi kupiga picha ya filamu yangu katika hii nyumba.....ni bonge ya nyumba humu ndani kuna kuku wa kufugwa wawili wa urembo na kobe halisi kabisa wanafugwa humu ndani kama urembo....
 

enheeee kumbe sio wake tena..........
C.T.U hizi habari zako ni za ki intelijensia kweli!!!!!!!!!!1
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…