Deadbody JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 4,274 Reaction score 6,595 Oct 26, 2016 #1 Tushirikiane mawazo tu mchinje kanj leo katika hii perfect12.Kama kuna matokeo unaamini possible share hapa tupige mzigo huu..41.2M Ipo kwa ajili yetu hivyo tushirikishane katika hizi mechi 12 kumpiga hatimaye tumvune kanji.Leo kanj hatoki
Tushirikiane mawazo tu mchinje kanj leo katika hii perfect12.Kama kuna matokeo unaamini possible share hapa tupige mzigo huu..41.2M Ipo kwa ajili yetu hivyo tushirikishane katika hizi mechi 12 kumpiga hatimaye tumvune kanji.Leo kanj hatoki
Deadbody JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 4,274 Reaction score 6,595 Oct 26, 2016 Thread starter #2
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 21,058 Reaction score 36,272 Oct 26, 2016 #3 Mungu anafurahishwa na pesa ambazo mwanadamu anavuna kihalali.
D dmatemu JF-Expert Member Joined Mar 14, 2008 Posts 956 Reaction score 551 Oct 26, 2016 #4 Aleyn said: Mungu anafurahishwa na pesa ambazo mwanadamu anavuna kihalali. Click to expand... Una maana kwamba Betting ni ujambazi ama nn? Una maana gali unaposema kuvuna kihalali?
Aleyn said: Mungu anafurahishwa na pesa ambazo mwanadamu anavuna kihalali. Click to expand... Una maana kwamba Betting ni ujambazi ama nn? Una maana gali unaposema kuvuna kihalali?
M Mtimbo JF-Expert Member Joined Jan 18, 2012 Posts 1,392 Reaction score 797 Oct 27, 2016 #5 Aleyn said: Mungu anafurahishwa na pesa ambazo mwanadamu anavuna kihalali. Click to expand... ACHA KUFANANISHA BETTING NA VITU VYA KIJINGA WEWE
Aleyn said: Mungu anafurahishwa na pesa ambazo mwanadamu anavuna kihalali. Click to expand... ACHA KUFANANISHA BETTING NA VITU VYA KIJINGA WEWE