Million ngapi za Kitanzania?

Kulikuwa na ofa, nanenane au sabasaba fuatilia kuna uzi humu.

Wanasema branch ya Sauzia imetoa bonge la ofa
 
Hakunaga pikipiki ya kijapani OG ya chini ya million 5
Tvs na boxer watafute pakukimbilia hii ndio raha ya biashara huria.
Boxer cc 125 mil 2.7
TVS cc 125 mil 2.7
Honda ace cc 125 mil 2.2.
Honda anaenda kuvuruga biashara za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…