limbukeni wa mtandao
Member
- Aug 19, 2018
- 14
- 5
kama nilivyojitambulisha hapo juu mim nilimbukeni tena limbukeni wa kiwango cha juu zaidi, na katika maswala mazima ya mitandao ya kijamii ulimbukeni wangu umetukuka zaidi ya ukuu wa muadhama polycarp kardinali pengo.Nachoomba Kwenu enyi watabe ,Naam enyi wajuzi na wakongwe wa mtandao huu pendwa ni kujuzwa kwa kina na nidadafuliwe kwa undani na weledi mkuu mambo matamu na muhimu nitakayoyapata hapa baada yakufanikiwa kujiunga nanyi leo..JE uwezekano wakupata papuchi za mdebwedo kama kule badoo upo?kama upo nasema zijiandae zafwaa maana nimeingia kipanga ama shetwani wa papuchi..naomba kuwasilisha.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app