Mimba aka kujaa neema

Mimba aka kujaa neema

mtanzania07071989

Senior Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
153
Reaction score
20
Niaje wana jf naomba kuuliza,ivi kuna dawa au namna yeyote ya kuzuia mimba iliyotungwa ndani ya siku moja au mbili baada ya kufanya mapenzi?
 
Miso Priso nenda yale maduka makubwa ya dawa Amana.SITANII.
 
Niaje wana jf naomba kuuliza,ivi kuna dawa au namna yeyote ya kuzuia mimba iliyotungwa ndani ya siku moja au mbili baada ya kufanya mapenzi?

Hiyo itakua sio kuzuia tena bali kuuwa au kuharibu !!

Lakini kwanini unataka kuiharibu hiyo mimba wakati walio wengi wanazitafuta hadi kwa waganga !!
 
Hee siku moja tu umejua unamimba?umetumia kipimo gani?
 
Sio mm dem wangu,anasema anahic tulifanya siku mbaya,siku ya 6 baada ya hedhi kuanza.can it be true.
 
Sio mm dem wangu,anasema anahic tulifanya siku mbaya,siku ya 6 baada ya hedhi kuanza.can it be true.
Kwa hiyo yeye alitaka mfanye siku ya ngapi ili iwe safe? Jambo usilolijua laweza kuwa usiku wa giza. Jihadhari mkuu naona kuna kila dalili ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Kuna moja inaitwa morning after ila inatakiwa within 48 hrs of sex ila efficiency inapungua with time
 
acha ngono zembe wewe, hivyo vitoto vya tumaini, ruco na mkwawa vitawaumiza, hapo anataka akupige mzinga wa kutolea wakati mimba hakuna, atakwambia dr anataka kilo, dawa jumla ni 50, na wewe kwa vile utasympathise unamtoa na yeye kilo nyingine ya kujikanda. chezea watoto wa chuo wewe
 
Mwanangu Mtanzania7071989 umeumia. Yaani umemtwika mtu mimba halafu unataka kuchomoa siyo/ Mimba mwawezachomoa na miwayaje? Haya mwanangu umeishanasa jiandae kulea badala ya kukionea hicho kiumbe kisicho na makosa. Sikushauri ufikirie kama kutoa mimba ndiyo suluhu. Nadhani suluhu ni kuacha ukware na kumuogopa Mungu huku ukijali maisha ya wengine. Hivi mama yako na baba yako wangekuwa na mawazo na mikakati kama yako jiulize. UNGEKUWA WAPI?
 
Nafahamu Morning after pills. Ila hizi ni za kuweaken sperms performance within 72 hrs baada ya sex (kuingizwa ukeni). If u unfortunately had unprotected sex, unameza the following morning. Works better if taken within 12 hrs!
 
Naona unaleta utani kwa GT humu, hata heading ilivyokaa. Nani kakudanganya kuwa siku 6 baada ya hedhi mimba inashika? Unless otherwise hata f4 hukusoma reproduction ktk biology. Siku za hatari ya mimba kushika ni kuanzia ya 11-17 kuanzia siku ya kwanza ya hedhi. Siku zingine ni uhuru wako mzee.
 
don tri miso at that age, kwanza naomba nisikushauri kutoa pili nikushauri usitumie hizo miso maana unaweza kapoteza maisha ya viumbe wa2 apo
 
Sio mm dem wangu,anasema anahic tulifanya siku mbaya,siku ya 6 baada ya hedhi kuanza.can it be true.

Kama unamaanisha ulichoandika hapo kwenye bold, Acha kujitesa wewe! Labda awe mwanamke wa mzunguko wa siku 21! Ila kama ni siku ya 6 baada ya hedhi kuisha utakuwa na haki ya kuwa na mashaka, ni PM
 
hakuna kuzuia mimba baada ya kutungika
hakuna ajuae mimba siku moja baada ya dooz
si kawaida kupata mimba siku ya sita baada
nasema sii kawaida kwani moja kati ya 100 inaweza tokea
naunga mkono usijeukawa unapigwa kiduku cha hela pstchologia ya mabint mbaya sana
 
Kwa tarehe uliyisema hakuna mimba hapo

Lakini kuondoa utata taja siku akiyoingia hedhi
pia kama mnatunza tarehe zote. Unaibiwa hapo
 
Mzunguko wake n siku ngapi? Kuna uwezekano kakudanganya..kama ni siku ya 6 sperms zinaishi masaa 72 ambapo itakua ni siku 9...if ni mzunguko mrefu wa kuanzia 28dys hakuna mimba hapo..
 
Back
Top Bottom